Morgan Schneiderlin (kulia) na Anthony Martial pichani wakiwa Uwanja wa Ndege wakati wa safari yao leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NAHODHA wa Manchester United, Wayne Rooney ameondolewa kwenye kikosi cha wachezaji 18 kinachokwenda kumenyana na FC Midtjylland ya Denmark katika michuano ya Europa League keshi.
Kiungo Marouane Fellaini amekuwa mchezaji mwingine mzoefu aliyeachwa kwenye safari hiyo pamoja na beki wa pembeni Matteo Darmian.
Kocha Louis van Gaal amebeba wachezaji chipukizi zaidi katika safari hiyo, wakiwemo Regan Poole, Joe Riley na James Weir ambaye anaweza kuchezea kikosi cha kwanza kwa mara ya kwanza.
0 comments:
Post a Comment