// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); REAL MADRID YAIKANYAGA 2-0 AS ROMA, RONALDO KAMA KAWAIDA YAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE REAL MADRID YAIKANYAGA 2-0 AS ROMA, RONALDO KAMA KAWAIDA YAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 18, 2016

    REAL MADRID YAIKANYAGA 2-0 AS ROMA, RONALDO KAMA KAWAIDA YAKE

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Radja Nainggolan wa AS Roma katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Itali. Real imeshinda 2-0 mabao ya Ronaldo na Jese Rodriguez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YAIKANYAGA 2-0 AS ROMA, RONALDO KAMA KAWAIDA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top