// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MVUA YATISHIA AMANI PAMBANO LA YANGA SC NA CERCLE JOACHIM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMVUA YATISHIA AMANI PAMBANO LA YANGA SC NA CERCLE JOACHIM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MVUA YATISHIA AMANI PAMBANO LA YANGA SC NA CERCLE JOACHIM
MECHI ya kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji, Cercle de Joachim dhidi ya Yanga SC iko shakani kufanyika kutokana na tishio la mvua. Mchezo huo unatarajiwa kuanza Saa 9:30 Alasiri kwa saa za Mauritius Uwanja wa Curepipe mjini Curepipe, yaani saa moja zaidi kwa saa za Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Clement Sanga aliyembatana na timu timu mjini Curepipe, amesema Uwanja una maji, lakini mpira unaweza kuchezeka. “Tunasubiri busara ya waamuzi, wakiona mpira utachezeka, sawa. Kwa sasa timu zinapasha kwa ajili ya kuanza mechi,”amesema Sanga. Beki wa kushoto Haji Mwinyi anaanzia benchi wakati nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' amepumzishwa na nahodha wa mchezo wa leo anakuwa ni Haruna Niyonzima. Kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm amewapanga; Ally Mustafa 'Barthez', Juma Abdul, Oscar Joshua, Kevin Yondan, Vincent Bossou, Thabani Kamusoko, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Deus Kaseke kuanza. Kwenye benchi wapo; Deo Munishi ‘Dida’, Benedicto Tinocco, Mbuyu Twite, Mwinyi Hajji Mngwali, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Pato Ngonyani, Said Juma ‘Makapu’, Salum Telela, Issoufou Boubacar, Matheo Anthony, Godfrey Mwashiuya, Malimi Busungu na Paul Nonga.
Wachezaji wa Yanga SC wakifanya mazoezi mepesi kwenye Uwanja wenye madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua
Mpira umekwama kwenye maji, sheria zinasemaje? Mechi itachezwa?
Mohammed Mpogolo akigawa jezi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo
'Scotland back themselves against Australia'
-
Matt Taylor, who has coached with both sides, expects a close encounter
when Scotland and Australia meet in the latest instalment of a "great
rivalry" on S...
Zimbabwe Afcon hopes dashed after loss to Cameroon
-
Zimbabwe’s hopes of finishing the 2025 Africa Cup of Nations (AFCON)
qualifiers undefeated were dashed yesterday after a 2-1 defeat to Cameroon
at the Ah...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment