![]() |
Muimbaji wa bendi mpya ya muziki wa dansi ya BMM, Totoo ze Bingwa (kushoto) akielezea mikakati ya ujio wa bendi hiyo itakayozinduliwa Ijumaa jijini Dar es Salaam. Kulia ni kiongozi wa BMM, Mule Mule. |
![]() |
Mwanamuziki wa bendi ya BMM, Totoo ze Bingwa (kulia) akielezea maandalizi ya uzinduzi wa bendi hiyo mpya utakaofanyika Ijumaa ijayo kwenye ukumbi wa Milleniaum Tower, jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Mmiliki wa bendi mpya ya BMM, Deus Macha (kulia) akizungumzia mikakati ya ujio wa bendi hiyo. Wengine ni wanamuziki wa BMM, Totoo ze Bingwa (kushoto) na Mule Mule. |
0 comments:
Post a Comment