// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MANARA AKABIDHI MISAADA KWA WATOTO YATIMA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MANARA AKABIDHI MISAADA KWA WATOTO YATIMA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, February 25, 2016

    MANARA AKABIDHI MISAADA KWA WATOTO YATIMA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Simba, Hajji Manara akikabidhi misaada kwa mwakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Umra Orphanage Centre kilichopo Magomeni, Dar es Salaam leo
    Misaada iliyokabidhiwa na Manara leo kituo cha Umra katika picha ya chini
    Manara anatoa misaada hii, siku chache baada ya Simba kufungwa 2-0 na Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANARA AKABIDHI MISAADA KWA WATOTO YATIMA BAADA YA KIPIGO CHA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top