![]() |
Mashabiki wa Simba SC wakiwa wamenuna baada ya timu yao kufungwa mabao 2-0 na watani, Yanga SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara |
![]() |
Mashabiki wa Yanga wakifurahia ushindi wao leo Uwanja wa Taifa
Jukwaa lililosheheni mashabiki wa Simba SC leo Uwanja wa Taifa na chini ni mashabiki wa Yanga |
0 comments:
Post a Comment