// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAVUMBANGU SASA 'FITI KABISA' KUIVAA YANGA MACHI 5 TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAVUMBANGU SASA 'FITI KABISA' KUIVAA YANGA MACHI 5 TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, February 27, 2016

    KAVUMBANGU SASA 'FITI KABISA' KUIVAA YANGA MACHI 5 TAIFA

    Mshambuliaji aliyekuwa majeruhi kwa muda refu, Didier Kavumbangu (kulia) akipambana na beki Serge Wawa Pascal katika mazoezi ya Azam FC jana viwanja vya Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Kavumbangu anatarajiwa kuanza kucheza katika mechi dhidi ya Yanga Machi 5, mwaka huu Uwanja wa Taifa
    Kavumbangu kulia akiwania mpira ulio kwenye himaya ya Nahodha John Bocco
    Kavumbangu mbele kulia alifanya mazoezi kikamilifu jana
    Kavumbangu mbele kushoto akiruka na Khamis Mcha 'Vialli'
    Nahodha John Bocco akikokota mpira kwenye mazoezi hayo jana
    Makipa wa Azam FC, kutoka kulia Metacha Biniface, Aishi Manula na Ivo Mapunda wakifanya mazoezi jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAVUMBANGU SASA 'FITI KABISA' KUIVAA YANGA MACHI 5 TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top