Hilo lilikuwa bao la kwanza la Samatta tangu ajiunge na Genk Januari akitokea TP Mazembe ya DRC
Samatta akimfuata Ruslan Malinovskiy (kushoto) aliyempa pasi kushangilia naye baada ya kufungaSamatta akishangilia na Malinovskiy baada ya kufungua akaunti yake ya mabao Ulaya TAZAMA VIDEO YA BAO LAKE |
0 comments:
Post a Comment