• HABARI MPYA

        Monday, February 29, 2016

        HAJIB AKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA SC

        Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari wa SImba SC jana baada ya mechi ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: HAJIB AKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry