Kikosi cha Liverpool kilichoanza usiku wa jana dhidi ya Augsburg Uwanja wa WWK Arena nchini Ujerumani katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 32 Bora michuano ya Europa League uliomalizika kwa sare 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City, Alvaro Negredo wa Valencia akimtoka beki wa Rapid Vienna, Stefan Stangl katika mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Kombe la Europa League, Mestalla, Hispania. Valencia inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa Manchester United, Gary Neville ilishinda 6-0, mabao yake yakifungwa na Santiago Mina Lorenzo mawili, Daniel Parejo, Alvaro Negredo, Andre Filipe Tavares Gomes na Rodrigo Moreno Machado PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment