• HABARI MPYA

        Sunday, February 21, 2016

        CHELSEA YAITANDIKA MAN CITY 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA

        Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Willian Borges Da Silva (kushoto) akishangilia baada ya kufunga dhidi ya Manchester City dakika ya 48 katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England Uwanja wa Stamford Bridge, London leo. Mabao mengine ya Chelsea inayotinga Robo fainali kwa matokeo hayo yamefungwa na Diego Da Silva Costa dakika ya 35, Gary Cahill dakika ya 53, Eden Hazard dakika ya 67 na Bertrand Traore dakika ya 89, huku la Man City likifungwa na David Faupala dakika ya 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CHELSEA YAITANDIKA MAN CITY 5-1 NA KUTINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry