• HABARI MPYA

        Friday, February 26, 2016

        CHEKA NA MZUNGU WAPIMA UZITO, TAYARI KWA PAMBANO LA KESHO DAR

        Bondia Francis Cheka akipima uzito leo kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Palms, Upanga, Dar es Salaam kwa ajili ya pambano na Muingereza mwenye asili ya Serbia, Geard Ajetovic kesho viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Middle
        Geard Ajetovic akipima uzito tayari kwa pambano la raundi 12 kesho viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super Middle 
        Francia Cheka akichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya
        Geard Ajevotic akichukuliwa vipimo mbalimbali vya afya
        Bondia Mohammed Matumla ambaye kesho atapigana na Bakari Mohammed katika pambano la uzito wa Light raundi sita
        Mabondia Cossmas Cheka (kulia) na Mustafa Doto (kushoto) wakiwa wameshika mkanda wa WBF Africa watakaowiania kesho katika pambano la uzito wa Light
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CHEKA NA MZUNGU WAPIMA UZITO, TAYARI KWA PAMBANO LA KESHO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry