• HABARI MPYA

        Monday, February 29, 2016

        CAF 'YAMPELEKA' THOMAS ULIMWENGU ST GEORGE YA ETHIOPIA

        MABINGWA wa Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wataanza kutetea taji lao kwa kumenyana na St George ya Ethiopia katika hatua ya timu 32 Bora.
        Timu hiyo ya mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu itaanzia ugenini Machi 11, mwaka huu kabla ya kurudiana mjini Lubumbashi, wiki moja baadaye.
        Thomas Ulimwengu ataanza kutetea taji la Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ST George

        RATIBA KAMILI 32 BORA LIGI YA MABINGWA AFRIKA 


        Jumamosi Machi, 2016
        Warri WolvesvEl MerreikhTBC
        Olympique KhouribgavES SahelTBC
        Stade MalienvCoton Sport FCTBC
        US DoualavZamalekTBC
        AS Vita ClubvClube Ferroviário de MaputoTBC
        APR FCvYoung AfricansTBC
        St. GeorgevTP MazembeTBC
        Jumapili Machi 13, 2016
        Mamelodi SundownsvAC LeopardsTBC
        Zesco UnitedvHoroya A.CTBC
        Club AfricainvMO BéjaïaTBC
        Etoile du CongovES SetifTBC
        Recreativo do LibolovAl AhlyTBC
        Ahly TripolivEl HilalTBC
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CAF 'YAMPELEKA' THOMAS ULIMWENGU ST GEORGE YA ETHIOPIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry