Naibu Mkurugenzi wa Azam TV, Tido Mhando akifuatilia mkutano huo leo Tabata. |
Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington (kushoto) akizungumza. Promotion hiyo ya ushirikiano wa Tigo Pesa na Azam TV, inaanza rasmi leo hadi Machi 13 na washindi wawili watakwenda Hispania.
0 comments:
Post a Comment