// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC WALIVYOJIFUA UWANJA WA SOKOINE LEO KABLA YA KUWAVAA 'WAJELAJELA' JUMATANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC WALIVYOJIFUA UWANJA WA SOKOINE LEO KABLA YA KUWAVAA 'WAJELAJELA' JUMATANO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, February 22, 2016

    AZAM FC WALIVYOJIFUA UWANJA WA SOKOINE LEO KABLA YA KUWAVAA 'WAJELAJELA' JUMATANO

    Wachezaji wa Azam FC, wakifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine mjini Mbwya jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Prisons kwenye Uwanja huo huo keshokutwa  PICHA NA DAVID NYEMBE
    Azam FC waliingia Uwanja wa Sokoine muda mfupi tu baada ya wenyeji wao, Prisons kumaliza kufanya mazoezi yao
    Azam FC leo walifanya mazoezi mepesi tu kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOJIFUA UWANJA WA SOKOINE LEO KABLA YA KUWAVAA 'WAJELAJELA' JUMATANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top