![]() |
Mfungaji wa bao la kwanza la Azam Fc, Kipre Tchetche (kushoto) akishangilia na kiungo wa timu hiyo, Ramadhani Singano 'Messi' |
![]() |
Beki wa Mbeya City, Tumba Lui Swedi akiupitia mpira miguuni mwa winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' |
![]() |
Ramadhani Singano 'Messi' (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita Tumbi Luis Swedi |
![]() |
Kikosi cha Mbeya City kilichobugizwa mabao 3-0 jana Uwanja wa Sokoine |
![]() |
Kikosi cha Azam FC kilichowapa 3-0 Mbeya City jana Uwanja wa Sokoine |
0 comments:
Post a Comment