
Monday, February 29, 2016

MABINGWA wa Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wataanza kutetea taji lao kwa kumenyana na St George ya Ethiopia k...
HIVI NDIVYO SAMATTA ALIVYOMTUNGUA KIPA MFARANSA KUFUNGA BAO LAKE LA KWANZA ULAYA
Monday, February 29, 2016
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akimtungua kipa Mfaransa, Ludovic Butelle wa Club Brugge kuifungia timu yake, ...
WANGA AIPELEKA AZAM FC ROBO FAINALI KOMBE LA TFF
Monday, February 29, 2016
MATOKEO HATUA YA 16 BORA KOMBE LA TFF Leo; Februari 29, 2016 Panone FC 1-2 Azam FC (Ushirika, Moshi) Februari 28, 2016 Simba SC 5-1 Sin...
SIMBA SC YAMSIMAMISHA NAHODHA KWA 'KUMTUKANA' KOCHA MAYANJA JANA TAIFA
Monday, February 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Utendaji ya klabu ya Simba ya Dar es Salaam imemsimamisha Nahodha wake Msaidizi, Hassan Isiha...
SIMBA SC YAANZA MAZUNGUMZO YA MKATABA MPYA NA KESSY
Monday, February 29, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba imechukua maamuzi mazito dhidi ya beki wake chipukizi wa kulia, Hassan Ramadhani Kessy ...
HAJIB AKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA SC
Monday, February 29, 2016
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akikabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari wa SImba SC jana baada ya mechi ya Kombe la S...
YANGA KUMKOSA CANNAVARO MECHI NA AZAM JUMAMOSI
Monday, February 29, 2016
Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM WAKATI Yanga inaingia kambini leo Pemba, Nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ hatakuwa tayari kwa mchezo mkali ...
SIMBA SC NA SINGIDA UNITED KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA
Monday, February 29, 2016
Mshambuliaji wa Simba, Danny Lyanga akimtoka beki wa Singida United katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu ...
BARCELONA YAENDELEZA MIKANDAMIZO LA LIGA, YAIPA 2-1 SEVILLA...MESSI KAMA KAWA
Monday, February 29, 2016
Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Neymar baada ya Muargentina huyo kufunga kwa mpira w...
Sunday, February 28, 2016
CABALLERO AOKOA PENALTI TATU ZA LIVERPOOL, MAN CITY YATWAA CAPITAL ONE KWA MATUTA
Sunday, February 28, 2016
MANCHESTER imetwaa Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup baada ya kuifunga kwa penalti 3-1 Liverpool usiku huu Uwanja wa Wemb...
DOGO RASHFORD AIPIGIA MBILI MAN UNITED IKIICHAPA 3-2 ARSENAL ENGLAND
Sunday, February 28, 2016
Mshambuliaji kinda wa miaka 18 wa Manchester United, Marcus Rashford akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili ...
SAMATTA AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO GENK IKIUA 3-2 LIGI KUU UBELGIJI
Sunday, February 28, 2016
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amefunga bao lake la kwanza katika klabu yake mpya, KRC Genk katika mchezo w...
SIMBA SC YAWAPIGA ‘MKONO’ SINGIDA NA KWENDA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF, TIMU YA MATOLA YAING’OA TOTO AFRICANS KIRUMBA
Sunday, February 28, 2016
MATOKEO NA RATIBA 16 BORA KOMBE LA TFF Leo; Februari 28, 2016 Simba SC 5-1 Singida United (Taifa, Dar es Salaam) Toto African 0-1 Geita ...
CHEKA ATWAA UBINGWA WA WBF BAADA YA KUMSHINDA MZUNGU KWA POINTI
Sunday, February 28, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BONDIA Francis Cheka 'SMG' usiku wa kuamkia leo ametwaa ubingwa wa Mabara wa WBF uzito wa Super ...
Subscribe to:
Posts (Atom)