// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 25, 2016

    YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiruka daluga la beki wa Friends Rangers jana katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kamam Azam Sports HD Federation Cup jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-0 na kutinga hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo ambayo itatoa mwakilishi wa nchi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (CAF) mwakani
    Haruna Niyonzima (kushoto) akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Friends Rangers
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Matheo Anthony mbele ya mabeki wa Friends Rangers
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Paul Nonga akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Friends Rangers
    Kiungo wa Yanga SC, Issoufou Boubacar akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Friends Rangers
    Paul Nonga wa Yanga SC akimlamba chenga beki wa Friends Rangers jana Uwanja wa Taifa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top