// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC ILIVYOWAPA ADHABU 'SAIZI YAO' MAJIMAJI JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC ILIVYOWAPA ADHABU 'SAIZI YAO' MAJIMAJI JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, January 22, 2016

    YANGA SC ILIVYOWAPA ADHABU 'SAIZI YAO' MAJIMAJI JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe (kulia) akifumua shuti kufunga mbele ya mabeki wa Majimaji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 5-0
    Amissi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Majimaji jana katika mchezo ambao alifunga mabao matatu
    Amissi Tambwe akiwatoka mabeki wa Majimaji katika mchezo ambao mabao yote alifunga kipindi cha pili
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma ambaye alifunga bao moja jana akimtoka beki wa Majimaji, Lulanga Mapunda
    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Majimaji jana Uwanja wa Taifa
    Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akiwatoka wachezaji wa Majimaji katika mchezo ambao naye alifunga bao moja

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOWAPA ADHABU 'SAIZI YAO' MAJIMAJI JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top