Bryan Oviedo wa Everton (kushoto) akipambana na Ki Sung-Yueng wa Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Goodison Park. Swansea imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Gylfi Sigurdsson kwa penalti baada ya Tim Howard kumchezea rafu Andre Ayew, aliyefunga bao la pili, wakati la Everton limefungwa na Jack Cork aliyejifunga kutokana na mpira wa Gareth Barry PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Captain's Column: Maya keen to maintain momentum
-
United Women's objective today is to beat Everton and take a win into the
international break, says Maya.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment