Mshambuliaji Luis Suarez akipiga ngumi hewani baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 38 wakiilaza 2-1 Atletico Madrid leo Uwanja wa Camp Nou katika mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na Lionel Messi dakika ya 30, wakati la Atletico limefungwa na Koke dakika ya 10 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Match preview: Manchester United v City
-
Sunday's match provides us with the chance to complete a double over our
city neighbours.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment