![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Daniel Lyanga akipasua katikati ya mabeki wa JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-0 |
![]() |
Kiungo wa JKT Ruvu, Hassan Dilunga (kushoto) akiupitia mpira miguuni mwa beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' |
![]() |
Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza akiwatoka mabeki wa JKT Ruvu |
![]() |
Kiungo wa Simba SC, Peter Mwalyanzi (kushoto) akimpita beki wa JKT Ruvu, Issa Ngao (kulia) |
![]() |
Beki wa Simba SC, Hassan Kessy (kushoto) aliyecheza kama winga baada ya kuingia kipindi cha pili jana akiwania mpira dhidi ya Nashon Naftari wa JKT Ruvu (kulia) |
0 comments:
Post a Comment