// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SHUJAA WA YANGA SC YONDAN ALIVYOONDOKA 'KIBABE' TAIFA JANA, HAKUCHEKA NA MTU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SHUJAA WA YANGA SC YONDAN ALIVYOONDOKA 'KIBABE' TAIFA JANA, HAKUCHEKA NA MTU! - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 18, 2016

    SHUJAA WA YANGA SC YONDAN ALIVYOONDOKA 'KIBABE' TAIFA JANA, HAKUCHEKA NA MTU!

    Mfungaji wa bao pekee la Yanga SC kwa penalti jana katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Kevin Patrick Yondan akiondoka uwanjani kishujaa baada ya mchezo huo uliorejesha timu yake kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo
    Yondan alifunga kwa penalti dakika chache baada ya mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe kukosa penalti ya kwanza waliyopewa Yanga SC na refa Mathew Akrama wa Mwanza
    Yondan alisahau hata wajibu wake kama Nahodha kwenda kuzungumza na Azam TV, badala yake Tambwe akaenda kumuwakilisha
    Hakuonekana mwenye furaha hata wakati anapongezwa na kocha wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHUJAA WA YANGA SC YONDAN ALIVYOONDOKA 'KIBABE' TAIFA JANA, HAKUCHEKA NA MTU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top