// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 28, 2016

    SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa Uwanja wa Ndege wa Amsterdam, Uholanzi asubuhi ya leo kusubiri kuunganisha ndege kwenda Brussels, Ubelgiji kujiunga na klabu yake mpya, KRC Genk ya Ligi Kuu ya nchini humo. Samatta aliondoka Dar es Salaam usiku wa jana. 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top