Mshambuliaji Diego Costa akimkabidhi mpira Oscar dos Santos Emboaba Junior baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-1 dhidi ya MK Dons Uwanja wa MK usiku wa leo katika mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Eden Hazard na Bernard Traore, wakati la wenyeji limefungwa na Darren Potter PICHA ZADI GONGA HAPA
Arouna Kone (katikati) akishangilia na mchezaji mwenzake wa Everton Uwanja wa Brunton Park baadfa ya kufunga bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Carlisle United kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England. Mabao mengine ya Everton yamefungwa na Aaron Lennon na Ross Barkley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment