Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Everton usiku wa jana kwenye mchezo wa Kombe la Ligi Uwanja wa Emirates. Mabao mengine ya Manchester City ambayo sasa inatinga fainali ya Capital One Cup kwa ushindi wa jumla wa 4-3, baada ya awali kufungwa 2-1 na Everton ugenini na watamenyana na Liverpool Februari 28 Uwanja wa Wembley, yamefungwa na Fernandinho na Kevin De Bruyne wakati la Everton limefungwa na Ross Barkley PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Frenchman Hadjar gets final F1 seat for 2025
-
Frenchman Isack Hadjar is promoted to Red Bull's second team to race
alongside Japanese Yuki Tsunoda during the 2025 Formula 1 season.
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment