// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, January 31, 2016

    MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA


    Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ wa Tanzania akiinuliwa mkono kutangazwa mshindi baada ya ushindi wa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu dhidi ya Andrey Kalyuzhnny wa Urusi ukumbi wa Shanghai Oriental Sports Center mjini Shanghai, China Jumamosi katika pambano lisilo la ubingwa la uzito wa Super Middle. Kushoto mwenye nguo za kijani ni kocha wa Dullah Mbabe, Mtanzania mwenzake, Emmanuel Mlundwa akifurahia kazi yake nzuri

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top