Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi leo dhidi ya wenyeji, Malaga Uwanja wa La Rosaleda katika mchezo wa La Liga. Bao lingine la Barca limefungwa na El Haddadi Mohamed Munir, wakati la Malaga limefungwa na Juan Pablo Anor PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Frenchman Hadjar gets final F1 seat for 2025
-
Frenchman Isack Hadjar is promoted to Red Bull's second team to race
alongside Japanese Yuki Tsunoda during the 2025 Formula 1 season.
7 minutes ago
0 comments:
Post a Comment