// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MARSHA, CHINA, MOGELLA NA GAGA VIPENZI VYA WAPENZI WA SOKA ENZI ZAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MARSHA, CHINA, MOGELLA NA GAGA VIPENZI VYA WAPENZI WA SOKA ENZI ZAO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, January 20, 2016

    MARSHA, CHINA, MOGELLA NA GAGA VIPENZI VYA WAPENZI WA SOKA ENZI ZAO

    Wachezaji nyota wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars waliowika kuanzia miaka ya 1980 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1990; Kutoka kulia Hussein Marsha, Athumani China, Zamoyoni Mogella na Hamisi Gaga 'Gaga Rhino' (marehemu) wakiwa na jezi za timu ya timu ya Tanzania mwaka 1991. Wote walikuwa viungo, kasoro Mogella pekee ambaye pia aliwatangulia kuibuka kisoka, ndiye alikuwa mshambuliaji. Na wote walicheza Simba na Yanga kasoro Hussein Marsha tu alicheza Simba pekee aliyojiunga nayo kutoka Pamba FC ya Mwanza.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MARSHA, CHINA, MOGELLA NA GAGA VIPENZI VYA WAPENZI WA SOKA ENZI ZAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top