Sheikh Salman amekuja nchini kwa matembezi ya siku ya mbili na atakua na mwenyeji wake Rais wa TFF, Jamal Malinzi.
Kesho Jumanne, Sheikh Salman Bin Ebrahim Ali Khalifa atamtembelea ofisini Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel.
![]() |
Malinzi (kulia) akiwa na Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa baada ya kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Dar es Salaam leo |
0 comments:
Post a Comment