Wachezaji wa Liverpool wakisherehekea ushindi wao wa penalti 6-5 dhidi ya Stoke City Uwanja wa Anfield Jumanne usiku katika mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup. Liverpool sasa itamenyana na mshindi kati ya Everton na Manchester City katika fainali mwezi ujao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Frenchman Hadjar gets final F1 seat for 2025
-
Frenchman Isack Hadjar is promoted to Red Bull's second team to race
alongside Japanese Yuki Tsunoda during the 2025 Formula 1 season.
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment