Rais wa Shirikisho la Soka Asia (AFC) na Makamu wa Rais wa (FIFA), Sheikh Salman Bin Ebrahim Al Khalifa (kushoto) akiwa katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo wakati alipotembelea katika ziara yake ya siku mbili nchini tangu jana alipowasili. Wengine ni Rais wa TFF, Jamal Malinzi (katikati) na Selestine Mwesigwa (kushoto). Sheikh Khalifa pia alitembelea ofisi za Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo na kufanya mazungmzo mafupi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Elisante Ole Gabriel
Frenchman Hadjar gets final F1 seat for 2025
-
Frenchman Isack Hadjar is promoted to Red Bull's second team to race
alongside Japanese Yuki Tsunoda during the 2025 Formula 1 season.
41 minutes ago
0 comments:
Post a Comment