// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, January 30, 2016

    KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA

    MATOKEO YOTE MECHI ZA LEO KOMBE LA FA
    Liverpool 0 - 0 West Ham United
    Bolton Wanderers 1 - 2 Leeds United
    Bury 1 - 3 Hull City
    Nottingham Forest 0 - 1 Watford
    Arsenal 2 - 1 Burnley
    Aston Villa 0 - 4 Manchester City
    Shrewsbury Town 3 - 2 Sheffield Wednesday
    Portsmouth 1 - 2 Bournemouth
    West Bromwich Albion 2 - 2 Peterborough United
    Crystal Palace 1 - 0 Stoke City
    Oxford United 0 - 3 Blackburn Rovers
    Reading 4 - 0 Walsall
    Colchester United 1 - 4 Tottenham Hotspur

    Nyota wa Manchester City, Kelechi Iheanacho akishangilia baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Villa Park kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA leo, Bao lingine la City limefungwa na Raheem Sterling PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top