// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHEKA ANAVYOJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHEKA ANAVYOJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, January 19, 2016

    CHEKA ANAVYOJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA

    Bondia Mtanzania, Francis Cheka akiwa kwenye kambi ya mazoezi mjini Lusaka, Zambia ambako anajiandaa na pambano la uzito wa Middle kuwania ubingwa wa Mabara wa WBF dhidi ya Muingereza, Geard Ajetovic litakalofanyika Februari 27, mwaka huu viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam
    Cheka anajifua chini ya jopo la makocha linaloongozwa na Muafrika Kusini na Mzambia kuhakikisha analipa kisasi kwa Muingereza huyo ambaye awali alimshinda mjini Manchester, England
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHEKA ANAVYOJIFUA VIKALI ZAMBIA ILI KULIPA KISASI KWA MUINGEREZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top