// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 , HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 , HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, January 08, 2016

    CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 , HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetaja marefa wa kuchezesha Michuano ya Ubingwa wa Mataifa Afrika (CHAN) - na hakuna jina la Mtanzania hata mmoja.
    Marefa 34 kutoka nchi 26 wameteuliwa kuchezesha fainai za michuano hiyo inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee, ambayo itafanyika nchini Rwanda Januari 16 hadi February 7.



    ORODHA YA MAREFA WA CHAN 2016

    #
    JINA
    NCHI ATOKAYO

    1
    Abid Charef Medhi
    Algeria

    2
    Bernard Camille
    Shelisheli

    3
    Denis Dembele
    Ivory Coast

    4
    Ibrahim Nour El Din
    Misri

    5
    Daniel Bennet
    Afrika Kusini

    6
    Kordi Med Said
    Tunisia

    7
    Mohamed H. El Fadil
    Sudan

    8
    Nampiandraza Hamada
    Madagascar

    9
    Keita Mahamadou
    Mali

    10
    Ali Lemghaifry
    Mauritania

    11
    Malang Diedhiou
    Senegal

    12
    Zio Ephrem Juste
    Burkina Faso

    13
    Davies Omweno
    Kenya

    14
    Hudu Munyemana
    Rwanda

    15
    Joseph Lamptey
    Ghana

    16
    Thierry Nkurunziza
    Burundi


    MAREFA WASAIDIZI (Washika vibendera)

    1
    Mokrane Gourari
    Algeria

    2
    Ndagijimana Theogene
    Rwanda

    3
    Mark Ssonko
    Uganda

    4
    Oamogestse Godisamang
    Botswana

    5
    Noupue Nouegoue Elvis
    Cameroon

    6
    Dina Bienvenu
    Benin

    7
    Serigne Cheikh Toure
    Senegal

    8
    Ahmed Hossam Taha
    Misri

    9
    Tesfagiorghis Berhe
    Eritrea

    10
    David Laryea
    Ghana

    11
    Mamady Tere
    Guinea

    12
    Sullaymane Sosseh
    Gambia

    13
    Marwa Range
    Kenya

    14
    Mahamadou Yahaya
    Niger

    15
    Hensley Petrousse
    Shelisheli

    16
    Khumalo M. Steven
    Afrika Kusini

    17
    Theophile Vinga
    Gabon

    18
    Nabina Blaise Sebutu
    DRC
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CAF YATAJA MAREFA WA CHAN 2016 , HAKUNA MTANZANIA HATA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top