Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets akipasua katikati ya wachezaji wa Athletic Bilbao katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe Mfalme. Barcelona iliyocheza bila washambuliaji wake wawili nyota Lionel Messi na Luis Suarez imeshinda 2-1 Uwanja wa San Mames Barris, mabao ya Neymar na Munir El Haddadi, wakati bao la wenyeji limefungwa na Aduriz Zubeldia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Opposition watch: Keeping a close eye on Forest
-
Tuesday's Premier League opponents progressed in the Emirates FA Cup on
Saturday.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment