// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); AZAM FC ILIVYOENDELEZA UBABE KWA TIMU ZA TANGA MKWAKWANI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE AZAM FC ILIVYOENDELEZA UBABE KWA TIMU ZA TANGA MKWAKWANI JANA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, January 21, 2016

    AZAM FC ILIVYOENDELEZA UBABE KWA TIMU ZA TANGA MKWAKWANI JANA

    Beki wa Azam FC, Shomary Kapombe (kulia) akiifungia timu yake bao la pili jana katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Mgambo JKT kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga
    Nahodha wa Azam FC, John Bocco akiwatoka wachezaji wa Mgambo JKT
    Beki wa Azam FC, Msenegali Racine Diouf akipiga kichwa mbele ya mchezaji mwenzake, John Bocco
    Kiungo wa Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza (kulia) akipambana na mchezaji wa Mgambo JKT
    Mshambuliaji wa Azam FC, Ame  Ali 'Zungu' akimzuia mchezaji wa Mgambo JKT katika kuwania mpira

    Kikosi cha Azam FC kilichoendeleza ubabe dhidi ya timu za Tanga Uwanja wa Mkwakwani jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOENDELEZA UBABE KWA TIMU ZA TANGA MKWAKWANI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top