
Sunday, January 31, 2016

TIMU ya taifa ya Guinea imefanikiwa kuitoa Zambia katika michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kuifunga kwa penalti 5-4 ...
16 BORA KOMBE LA FA ENGLAND, MAN UNITED WAPEWA VIBONDE, CHELSEA NA MAN CITY, ARSENAL...
Sunday, January 31, 2016
Kocha wa Man United, Louis Van Gaal TIMU ya Chelsea imepangwa kumenyana na Manchester City katika Raundi ya Tano ya Kombe la FA Cup b...
OSCAR APIGA HAT TRICK CHELSEA IKIUA 5-1 KOMBE LA FA, KONE NAYE MOTO EVERTON
Sunday, January 31, 2016
Mshambuliaji Diego Costa akimkabidhi mpira Oscar dos Santos Emboaba Junior baada ya kufunga mabao matatu peke yake katika ushindi wa 5-1 ...
ULIMWENGU AENDELEA KUNG’ARA MAZEMBE BILA ‘KAMPANI’ YA SAMATTA
Sunday, January 31, 2016
NYOTA ya Mtanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu (pichani kushoto) imeendelea kung’ara TP Mazembe baada ya jioni ya leo kufunga bao moja ka...
MALI YAWAGONGA TUNISIA 2-1 NYAMIRAMBO, SASA KUMENYANA NA IVORY COAST NUSU FAINALI
Sunday, January 31, 2016
TIMU ya taifa ya Mali imeifunga Tunisia mabao 2-1 katika mchezo mkali na wa kusisimua wa Robo Fainali ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya ...
YONDAN AWAOMBA RADHI YANGA KWA KADI NYEKUNDU NA KIPIGO CHA COSTAL, ASEMA WANAJIPANGA UPYA WASIRUDIE MAKOSA
Sunday, January 31, 2016
Na Salma Isihaka, TANGA BEKI wa Yanga SC, Kevin Yondan (pichani kulia) amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo baada ya jana kutolewa kw...
MGAMBO JKT YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA NDANDA FC MKWAKWANI
Sunday, January 31, 2016
MATOKEO LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA Januari 30, 2016 Coastal Union 2-0 Yanga SC Simba SC 4-0 African Sports JKT Ruvu 0-0 Majimaji Mtib...
MAYANJA ENZI ZAKE ALIKUWA 'HAKUNA KUREMBA', ANAPIGA BAO MPIRA KATI
Sunday, January 31, 2016
Kiungo wa KCC, Jackson Mayanja (kushoto) akikimbia na mpira kuurudisha kati uanze baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhid...
RAIS MPYA CECAFA NAYE ‘HAAMBILIKI’?
Sunday, January 31, 2016
MICHUANO ya klabu barani Afrika itaanza katikati ya Februari, Yanga SC wakiifuata Cercle de Joachim nchini Mauritius kwa mchezo wa kwanza w...
MTANZANIA AMDUNDA MRUSI KWA KO RAUNDI YA TATU CHINA
Sunday, January 31, 2016
Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ wa Tanzania akiinuliwa mkono kutangazwa mshindi baada ya ushindi wa Technical Knockout (TKO) raund...
Saturday, January 30, 2016
TEMBO WA IVORY COAST WAUA SIMBA WA CAMEROON 3-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI
Saturday, January 30, 2016
TEMBO wa Ivory Coast wameua Simba Wasiofungika wa Cameroon na kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mjini...
KELECHI IHEANACHO APIGA HAT TRICK MAN CITY YAUA 4-0 KOMBE LA FA
Saturday, January 30, 2016
MATOKEO YOTE MECHI ZA LEO KOMBE LA FA Liverpool 0 - 0 West Ham United Bolton Wanderers 1 - 2 Leeds United Bury 1 - 3 Hull Cit...
SANCHEZ AIVUSHA ARSENAL KOMBE LA FA, YAILAZA 2-1 BURNLEY
Saturday, January 30, 2016
Mshambuliaji Alexis Sanchez akipongezwa na wachezaji wenzake wa Arsenal, wakiwemo Alex Iwobi (kushoto) na Kieran Gibbs (kulia) baada ya k...
LIVERPOOL YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA WEST HAM RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA
Saturday, January 30, 2016
Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke (kushoto), akienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa West Ham United katika m...
SUAREZ AIPIGIA LA USHINDI BARCA IKIILAZA 2-1 ATLETICO MADRID LA LIGA
Saturday, January 30, 2016
Mshambuliaji Luis Suarez akipiga ngumi hewani baada ya kuifungia Barcelona bao la ushindi dakika ya 38 wakiilaza 2-1 Atletico Madrid leo ...
DRC YAWATUPA NJE RWANDA AMAHORO, AMAVUBI WALALA 2-1 KIGALI
Saturday, January 30, 2016
JAMHURI ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekata tiketi ya kwenda Nusu Fainali ya Michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya us...
YANGA ‘NDEMBENDEMBE’ MKWAKWANI, WACHEZEA 2-0 ZA COASTAL… SIMBA SC YAITANDIKA 4-0 AFRICAN SPORTS TAIFA
Saturday, January 30, 2016
MATOKEO NA RATIBA LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA Januari 30, 2016 Coastal Union 2-0 Yanga SC Simba SC 4-0 African Sports JKT Ruvu 0-0 Maji...
AZAM FC YANG’ARA ZAMBIA, YAWATANDIKA MABINGWA WA ZIMBABWE 3-1
Saturday, January 30, 2016
John Bocco ameifunga bao Azam leo Ndola AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Chikeck Inn ya Zimbabwe katika mchezo wa mich...
REAL YASAJILI WINGA MZAMBIA, ATAMBULISHWA RASMI HISPANIA TAYARI KWA KAZI
Saturday, January 30, 2016
KLABU ya Real Betis imemsajili kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa msimu, kiungo chipukizi wa Chelsea, Charly Musonda. Dogo huyo wa umri wa mi...
HANS POPPE AWAKUMBUSHIA TP MAZEMBE 'MAHELA' YA SIMBA SC
Saturday, January 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba wanasubiri mgawo wao wa E...
HATIMAYE PATO ATUA CHELSEA KWA MKOPO KUMALIZIA MSIMU DARAJANI
Saturday, January 30, 2016
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Alexandre Pato akikabidhiwa jezi ya Chelsea na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo, Michael Emenalo m...
Friday, January 29, 2016
AZAM FC WALIVYOJIFUA LEO NDOLA KUJIANDAA KWA MECHI NA WAZIMBABWE KESHO
Friday, January 29, 2016
Wachezaji wa Azam FC, Allan Wanga (kulia) na Said Mpourad (kushoto) wakifanya mazoezi asubuhi ya leo mjini Ndola, Zambia kujiandaa na mch...
SAMATTA: SITAKI MATATIZO NA MAZEMBE WALA MOISE KATUMBI
Friday, January 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, GENK NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta amesema hataki matatizo na klabu yake ya zamani, TP Mazembe na anaomba wa...
SAMATTA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 77 GENK, ATAMBULISHWA RASMI LEO
Friday, January 29, 2016
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akikabidhiwa jezi namba 77 wakati wa utambulisho wake makao makuu ya klabu ya ...
Subscribe to:
Posts (Atom)