Saturday, December 31, 2016
MAN UNITED 2-1 MIDDLESBROUGH
Saturday, December 31, 2016
LIVERPOOL 1-0 MAN CITY
Saturday, December 31, 2016
CHELSEA 4-2 STOKE CITY
Saturday, December 31, 2016
LIVERPOOL YAITWANGA MAN CITY 1-0 ANFIELD
Saturday, December 31, 2016
Georginio Wijnaldum akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Liverpool dakika ya nane ikiilaza 1-0 Manchester City katika mch...
BEKI WA SIMBA AFIWA NA WATOTO WAKE WATATU SIKU MOJA
Saturday, December 31, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM LICHA ya kufiwa na watoto wake wote watatu, beki wa Simba SC, Juuko Murshid leo amesafiri na kikosi cha ...
ISLAM SLIMANI AING'ARISHA LEICESTER CITY
Saturday, December 31, 2016
Mshambuliaji Islam Slimani akiruka kuifungia kwa kichwa Leicester City dakika ya 20 bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham U...
CHELSEA YASHINDA MECHI YA 13 MFULULZO LIGI KUU ENGLAND
Saturday, December 31, 2016
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa 13 mfululizo katika Ligi Kuu ya England baada ya kuilaza 4-2 Stoke City leo Uwanja wa S...
POGBA AIFUNGIA LA USHINDI MAN UNITED YAUA 2-1 ENGLAND
Saturday, December 31, 2016
Paul Pogba akiwaongoza wachezaji wenzake wa Manchester United kushangilia baada ya kufunga bao la ushindi dakika ya 86 katika ushindi wa ...
MBEYA CITY YAIPIGA 3-1 MBAO FC SOKOINE
Saturday, December 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, MBEYA MBEYA City imezinduka na kuifumua Mbao FC mabao 3-1 jioni ya leo Uwanja wa Sokoine, Mbeya huku mshambuliaji Zahor...
MWADUI YAIPIGA 2-1 KAGERA SUGAR
Saturday, December 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, MWADUI MWADUI imeshinda mechi ya tatu mfululizo chini ya kocha mpya, baada ya kuilaza 2-1 Kagera Sugar katika mchezo wa...
RONDA ROUSEY AJUTA KURUDI ULINGONI, ACHAPWA VIBAYA NA AMANDA UFC
Saturday, December 31, 2016
Ronda Rousey (kushoto) akiugulia maumivu baada ya pigo la Amanda Nunes katika mchezo wa UFC jana. Amanda alitumia sekunde 48 tu kummali...
NGASSA AREJEA LIGI KUU LEO MBEYA CITY IKICHEZA NA MBAO SOKOINE
Saturday, December 31, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa anarejea kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara ...
SIMBA: MAVUGO, BLAGNON HAWAKUCHEZA MECHI SABABU NI WAGONJWA
Saturday, December 31, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM SIMBA SC imetahadharisha haina tatizo lolote na wachezaji wake, Laudit Mavugo na Frederick Blagnon na kw...
Friday, December 30, 2016
HAJIB AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MISRI, AFUNGA MOJA HODOUD IKIUA 4-0
Friday, December 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Ibrahim Hajib Migomba leo amefunga bao moja timu ya Har...
YANGA KUMKOSA BOSSOU KOMBE LA MAPINDUZI
Friday, December 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC itaondoka jioni ya kesho kwenda Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, inayotarajiwa...
MICHO AMJUMUISHA JUUKO KIKOSI CHA AFCON 2017
Friday, December 30, 2016
BEKI wa Simba Juuko Murshid amepenya kwenye kikosi cha mwisho cha Uganda kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Januari 201...
AZAM FC YAZINDUKA, YAILAZA 1-0 PRISONS CHAMAZI
Friday, December 30, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, usiku wa jana imeiadabisha Tanzania Prisons kwa bao 1-...
RONALDO AITIWA PAUNI MILIONI 1 KWA WIKI CHINA, AKATAA
Friday, December 30, 2016
MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo ndiye nyota mpya anayetakiwa Ligi Kuu ya China na wakala wake, Jorge Mendes ametaja dau alilote...
SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU
Friday, December 30, 2016
Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akimiliki mpira mbele ya beki wa Ruvu Shooting jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika ...
YANGA KUVUNA PONTI ZA CHEE LEO KAMATI YA SAA 72
Friday, December 30, 2016
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA inaweza kukomboa pointi mbili ilizopoteza kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi...
Thursday, December 29, 2016
HAJIB AKIFURAHIA MAISHA NA 'WASHKAJI' ZAKE HARAS EL HODOUD
Thursday, December 29, 2016
Mshambuliaji chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Ibrahim Hajib wa Simba SC (kushoto) akiwa na wachezaji wa Haras El Hodoud leo mjini Alex...
SIMBA WALEEE, YANGA WANAISOMA NAMBA...RUVU AFA 1-0
Thursday, December 29, 2016
Na Princess Asia, DAR ES SALAAM BAO pekee la kiungo Mohammed ‘Mo’ Ibrahim limetosha kuipa Simba ushindi wa 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu y...
AZAM YATHIBITISHA KUWAMWAGA WASPANIOLA, CHECHE APEWA TIMU
Thursday, December 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM AZAM FC imetangaza rasmi kuachana na makocha wake kutoka Hispania chini ya Zeben Hernandez Rodriguez leo ...
NGASSA SASA RUKSA KUCHEZA MBEYA CITY, ITC YAKE YAFIKA
Thursday, December 29, 2016
Na Mwandishi Wetu, MBEYA KIUNGO Mrisho Khalfan Ngassa sasa yuko huru kuchezea klabu yake mpya, Mbeya City ya hapa baada ya kupatiwa Hati y...
YANGA NA NDANDA KATIKA PICHA JANA UHURU
Thursday, December 29, 2016
Winga wa Yanga, Simon Msuva akiruka juu kujaribu bila mafanikio kufunga baada ya krosi nzuri ya Juma Abdul, nyuma kabisa katika mchezo wa...
SOUTHAMPTON 1-4 TOTTENHAM
Thursday, December 29, 2016
FARID MUSSA MALIK ALIVYOPAA KWENDA HISPANIA JANA
Thursday, December 29, 2016
Winga chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akiwa Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jana wakati anaondoka kw...
SASA RASMI, TEVEZ NDIYE MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI DUNIANI
Thursday, December 29, 2016
Klabu ya Shenhua imemtambulisha rasmi Carlos Tevez kuwa mchezaji wake mpya kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki, ambao ni mkubwa kuliko...
SPURS YAWAKUNG'UTA SOUTHAMPTON 4-1 ENGLAND
Thursday, December 29, 2016
Christian Eriksen akimrukia Harry Kane kumpongeza baada ya kuifungia bao la pili Tottenham dakika ya 52 kabla ya kukosa penalti dakika ya...
Subscribe to:
Posts (Atom)