// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); YANGA SC MGAMBO JKT KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE YANGA SC MGAMBO JKT KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 13, 2015

    YANGA SC MGAMBO JKT KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI

    Kipa wa Mgambo JKT, Soud Abdul akidaka mpira dhidi ya mchezaji wa Yanga SC, Simon Msuva (kulia), huku kiungo Mohammed Samatta akiwa tayari kutoa msaada katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Timu hizo zilitoka 0-0.
    Simon Msuva akitafuta maarifa ya kupasua katikati ya wachezaji wa Mgambo jana

    Abdul Iddi (kushoto) wa Mgambo JKT, akiwania mpira dhidi ya Deus Kaseke wa Yanga SC  

    Kikosi cha Yanga SC kilichotoa sare ya 0-0 na Mgambo JKT jana

    Kikosi cha Mgambo kilichotoa sare ya 0-0 na Yanga SC jana

    Makocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm (kuia) na Juma Mwabusi (kushoto) Uwanja wa Mkwakwani jana

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC MGAMBO JKT KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top