// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SIMBA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SIMBA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 13, 2015

    SIMBA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA

    kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (katikati) akienda chini katikati ya mabeki wa Simba SC, Hassan Isihaka (kulia) na Mohammed Hussein 'Tshabalala' kushoto katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka 2-2
    Manahodha, Hassan Isihaka wa Simba SC (kulia) na John Bocco (kushoto) wakiwania mpira jana

    Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla akiwatoka viungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' (kulia) na Jean Baptiste Mugiraneza (kushoto)
    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akimuacha chini kiungo wa Simba SC, Justice Majabvi 

    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akimtoka beki wa Azam FC, Said Mourad (kulia)
    Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Lyanga akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Shomary Kapombe (kulia)
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC NA AZAM FC KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top