UGANDA wamefanikiwa kuingia fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kwa ushindi wa penalti 5-3 kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Ethiopia ndani ya dakika 120 Uwanja wa Taifa wa Addis Ababa, Ethiopia leo.
Nahodha wa Ethiopia, Panom Gatuoch alikosa penalti ya kwanza ya Ethiopia, wakati wenzake Behailu Girma, Achalew Tamane na Eliam Mamo kufunga.
Penalti za Uganda zilifungwa na Muzamir Mutyaba, Isaac Muleme, Ceasr Okoti, Joseph Ochaya na Farouk Miya na sasa Uganda itakutana na Rwanda katika fainali keshokutwa, ambayo mapema iliitoa Sudan kwa penalti 4-2 baada ya sare ya 1-1. Ethiopia itacheza na Sudan kusaka nafasi ya tatu.
Kikosi cha Uganda kilikuwa; Ismail Watenga, Bernard Muwanga, Denis Okot, Richard Kasagga, Joseph Ochaya, Murushid Juuko,Ivan Ntege, Frank Kalanda/Isaac Muleme dk46, Erisa Sekisambu/Keziron Kizito dk65, Ceasar Okhuti/Muzamir Mutyaba dk90 na Miya Faruku.
Ethiopia: Abel Mamo, Nejib Sani, Anteneh Tesfaye, Aschalew Tamane, Zekariyas Tuji, Ellyas Mamo, Ramkel Lok/Belahilu Girma dk14, Aschalew Girma, Bereket Yishak dk70, Panom Gathuoch, Beneyam Belay/Yihun Endashaw dk80 na Mohammed Naser.

0 comments:
Post a Comment