Kocha Mholanzi, Louis van Gaal amekalia kuti kavu baada ya Manchester United kufungwa mabao 2-1 na Norwich Jumamosi. Tangu kipigo hicho vyombo vya habari England vimeanza kumtabiria safari huku, vikitabiri kati ya Ryan Giggs (kulia), Pep Guardiola (katikati) au Jose Mourinho (kushoto) mmoja atachukua nafasi yake.
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment