// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NANI ATASIMAMA LANGONI AZAM FC DHIDI YA SIMBA JUMAMOSI? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NANI ATASIMAMA LANGONI AZAM FC DHIDI YA SIMBA JUMAMOSI? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, December 10, 2015

    NANI ATASIMAMA LANGONI AZAM FC DHIDI YA SIMBA JUMAMOSI?

    Kipa wa Azam FC, Mwadini Ali akipangua mpira kwenye mazoezi ya timu hiyo juzi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam huku kipa mpya wa timu hiyo, Ivo Mapunda akimshuhudia. Azam FC inajiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumamosi dhidi ya Simba SC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hapa anakosekana kipa namba moja, Aishi Manula ambaye hayupo pichani, lakini walinda mlango wote hao watatu wako fiti kuelekea mchezo huo na ni uamuzi wa kocha Muingereza Stewart John Hall amuanzishe nani siku hiyo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NANI ATASIMAMA LANGONI AZAM FC DHIDI YA SIMBA JUMAMOSI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top