// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MNIGER WA YANGA MAZOEZINI MKWAKWANI LEO, JE ATASAJILIWA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MNIGER WA YANGA MAZOEZINI MKWAKWANI LEO, JE ATASAJILIWA? - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, December 11, 2015

    MNIGER WA YANGA MAZOEZINI MKWAKWANI LEO, JE ATASAJILIWA?

    Kiungo wa kimataifa wa Niger, Issoufou Boubacar Garba (kushoto) akifanya mazoezi na wenzake leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mgambo JKT. Hata hivyo, Garba bado yuko kwenye majaribio na Yanga haijatangaza kama imemsajili.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MNIGER WA YANGA MAZOEZINI MKWAKWANI LEO, JE ATASAJILIWA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top