// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); MAN CITY YAWATANDIKA SWANSEA 2-1 LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE MAN CITY YAWATANDIKA SWANSEA 2-1 LIGI KUU ENGLAND - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Saturday, December 12, 2015

    MAN CITY YAWATANDIKA SWANSEA 2-1 LIGI KUU ENGLAND

    Mshambuliaji wa Manchester City, Wilfried Bony akienda hewani kuifungia kwa kichwa timu yake bao la kwanza katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Swansea Uwanja wa Etihad jioni ya leo. Bao lingine la City lilifungwa na Kelechi Iheanacho aliyejifunga baada ya kubabatizwa na mpira uliopigwa na Yaya Toure, huku bao la Swansea likifungwa na Bafetimbi Gomis PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAN CITY YAWATANDIKA SWANSEA 2-1 LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top