MATOKEO MECHI ZA UEFA EUROPA LEAGUE JANA
Lech Poznan 0 - 1 FC Basel
Athletic Club 2 - 2 AZ
St Etienne 1 - 1 Lazio
Sporting Lisbon 3 - 1 Besiktas
RSC Anderlecht 2 - 1 FK Qarabag
Fiorentina 1 - 0 Belenenses
Partizan Belgrade 1 - 3 FC Augsburg
Skenderbeu Korce 0 - 3 Lokomotiv Moscow
Dnipro Dnipropetrovsk 3 - 0 Rosenborg
Tottenham Hotspur 4 - 1 Monaco
Asteras Tripolis 0 - 4 FC Schalke 04
APOEL Nicosia 1 - 3 Sparta Prague
FC Groningen 0 - 0 Sporting Braga
Viktoria Plzen 3 - 3 Villarreal
Ajax 1 - 1 Molde
FK Qabala 0 - 3 FK Krasnodar
FC Midtjylland 1 - 1 Club Brugge
SK Rapid Wien 2 - 1 Dinamo Minsk
Bordeaux 2 - 2 Rubin Kazan
Napoli 5 - 2 Legia Warsaw
Slovan Liberec 2 - 4 Marseille
Borussia Dortmund 0 - 1 PAOK Salonika
FC Sion 0 - 0 Liverpool
Fenerbahce 1 - 1 Celtic
Lamela akishangilia na wenzake baada ya kufunga hata trick katika ushindi wa 4-1 wa Spurs jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TIMU ya Liverpool imewafuata mahasimu, Manchester United katika 32 Bora ya michuano ya UEFA Europa League baada ya kulazimisha sare ya 0-0 ugenini jana na FC Sion katika mchezo wa mwisho wa Kundi B wa michuano hiyo Uwanja wa Tourbillon.
Liverpool sasa inamaliza kileleni mwa kundi hilo, baada ya kutimiza pointi 10, mbele ya FC Sion iliyomaliza na pointi tisa. Mchezo mwingine wa kundi hilo, Bordeaux imelazimishwa sare ya 2-2 na Rubin Kazan Uwanja wa Matmut Atlantique, hivyo kupoteza nafasi ya kusonga mbele.
Ikumbukwe Manchester United imeangukia katika Europa League baada ya kutolea katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA.
Tottenham Hotspur nayo imesonga mbele baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Monaco katika mchezo wa Kundi J, nyota wake Erik Lamela akifunga mabao matatu peke yake dakika za pili, 15 na 37, bao lingine likifungwa na Tom Carroll dakika ya 77, huku la wapinzani likifungwa na Stephan El Shaarawy dakika ya 61 Uwanja wa White Hart Lane.
Spurs inamaliza kileleni mwa kundi hilo kwa pointi zake 13 mbele ya RSC Anderlecht, ambayo jana imeifunga 2-1 FK Qarabag na kumaliza na pointi 10.
Borussia Dortmund nayo imesonga mbele licha ya kuchapwa 1-0 nyumbani na PAOK Salonika katika mchezo wa Kundi C jana Uwanja wa Signal Iduna Park, bao pekee la Robert Mak dakika ya 33.
Borussia Dortmund inamaliza na pointi 10, nyuma ya FK Krasnodar, ambayo jana imeshinda 3-0 ugenini dhidi ya FK Qabala, mabao yake yakifungwa na Ragnar Sigurdsson, Mauricio Pereyra na Wanderson do Carmo Carneiro Uwanja wa Bakcell Arena, hivyo kumaliza na pointi 13.
Timu zilizosonga mbele ni Molde, Fenerbahce, Liverpool, FC Sion, FK Krasnodar, Borussia Dortmund, Napoli, FC Midtjylland, SK Rapid Wien, Villarreal, Sporting Braga, Marseille, Lazio, St Etienne, Lokomotiv Moscow, Sporting Lisbon, FC Basel, Fiorentina, Tottenham Hotspur, RSC Anderlecht, FC Schalke 04, Sparta Prague, Athletic Club na FC Augsburg ambazo zinaunagana na Shakhtar Donetsk, Manchester United, Galatasaray, Sevilla, Bayer 04 Leverkusen, Olympiakos, FC Porto na Valencia CF zilizotolewa Ligi ya Mabingwa.
Lech Poznan 0 - 1 FC Basel
Athletic Club 2 - 2 AZ
St Etienne 1 - 1 Lazio
Sporting Lisbon 3 - 1 Besiktas
RSC Anderlecht 2 - 1 FK Qarabag
Fiorentina 1 - 0 Belenenses
Partizan Belgrade 1 - 3 FC Augsburg
Skenderbeu Korce 0 - 3 Lokomotiv Moscow
Dnipro Dnipropetrovsk 3 - 0 Rosenborg
Tottenham Hotspur 4 - 1 Monaco
Asteras Tripolis 0 - 4 FC Schalke 04
APOEL Nicosia 1 - 3 Sparta Prague
FC Groningen 0 - 0 Sporting Braga
Viktoria Plzen 3 - 3 Villarreal
Ajax 1 - 1 Molde
FK Qabala 0 - 3 FK Krasnodar
FC Midtjylland 1 - 1 Club Brugge
SK Rapid Wien 2 - 1 Dinamo Minsk
Bordeaux 2 - 2 Rubin Kazan
Napoli 5 - 2 Legia Warsaw
Slovan Liberec 2 - 4 Marseille
Borussia Dortmund 0 - 1 PAOK Salonika
FC Sion 0 - 0 Liverpool
Fenerbahce 1 - 1 Celtic
Lamela akishangilia na wenzake baada ya kufunga hata trick katika ushindi wa 4-1 wa Spurs jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TIMU ya Liverpool imewafuata mahasimu, Manchester United katika 32 Bora ya michuano ya UEFA Europa League baada ya kulazimisha sare ya 0-0 ugenini jana na FC Sion katika mchezo wa mwisho wa Kundi B wa michuano hiyo Uwanja wa Tourbillon.
Liverpool sasa inamaliza kileleni mwa kundi hilo, baada ya kutimiza pointi 10, mbele ya FC Sion iliyomaliza na pointi tisa. Mchezo mwingine wa kundi hilo, Bordeaux imelazimishwa sare ya 2-2 na Rubin Kazan Uwanja wa Matmut Atlantique, hivyo kupoteza nafasi ya kusonga mbele.
Ikumbukwe Manchester United imeangukia katika Europa League baada ya kutolea katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA.
Mchezaji wa Liverpool, Adam Lallana (katikati) akizunguana na kiungo wa Sion, Xavier Kouassi baada ya kuchezewa rafu na Brad Smith PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Spurs inamaliza kileleni mwa kundi hilo kwa pointi zake 13 mbele ya RSC Anderlecht, ambayo jana imeifunga 2-1 FK Qarabag na kumaliza na pointi 10.
Borussia Dortmund nayo imesonga mbele licha ya kuchapwa 1-0 nyumbani na PAOK Salonika katika mchezo wa Kundi C jana Uwanja wa Signal Iduna Park, bao pekee la Robert Mak dakika ya 33.
Borussia Dortmund inamaliza na pointi 10, nyuma ya FK Krasnodar, ambayo jana imeshinda 3-0 ugenini dhidi ya FK Qabala, mabao yake yakifungwa na Ragnar Sigurdsson, Mauricio Pereyra na Wanderson do Carmo Carneiro Uwanja wa Bakcell Arena, hivyo kumaliza na pointi 13.
Timu zilizosonga mbele ni Molde, Fenerbahce, Liverpool, FC Sion, FK Krasnodar, Borussia Dortmund, Napoli, FC Midtjylland, SK Rapid Wien, Villarreal, Sporting Braga, Marseille, Lazio, St Etienne, Lokomotiv Moscow, Sporting Lisbon, FC Basel, Fiorentina, Tottenham Hotspur, RSC Anderlecht, FC Schalke 04, Sparta Prague, Athletic Club na FC Augsburg ambazo zinaunagana na Shakhtar Donetsk, Manchester United, Galatasaray, Sevilla, Bayer 04 Leverkusen, Olympiakos, FC Porto na Valencia CF zilizotolewa Ligi ya Mabingwa.
0 comments:
Post a Comment