Mshambuliaji wa Watford, Odion Ighalo akifumua shuti mbele ya beki wa Liverpool, Martin Skrtel kuifungia bao la pili dakika ya 15 timu yake katika ushindi wa 3-0 jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Watford yamefungwa na Nathan Ake dakika ya tatu Ighalo tena dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mayer retains title with points win over Briton Ryan
-
World champion Mikaela Mayer outpoints Briton Sandy Ryan for the second
time to defend her WBO welterweight title in Las Vegas.
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment