Kiungo Lucas Leiva (kushoto) akipambana na mchezaji wa Newcastle, Siem de Jong katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo Uwanja wa St James Park. Newcastle wameshinda 2-0 mabao ya Martin Skrtel kujifunga dakika ya 69 na Georginio Wijnaldum dakika ya 93 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Uncapped Boyle named in Ireland's Six Nations squad
-
Uncapped Leinster prop Jack Boyle is included in Ireland's Six Nations
squad, replacing the suspended Tom O'Toole.
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment