// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); JOSHUA AENDELEA 'KUWAFANYA VIBAYA' WENZAKE...AMTWANGA MWINGINE KWA KO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE JOSHUA AENDELEA 'KUWAFANYA VIBAYA' WENZAKE...AMTWANGA MWINGINE KWA KO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, December 13, 2015

    JOSHUA AENDELEA 'KUWAFANYA VIBAYA' WENZAKE...AMTWANGA MWINGINE KWA KO

    Bondia Anthony Joshua akizuiwa na refa asiendelee kumuadhibu Dillian Whyte baada ya kumuangusha raundi ya saba ukumbi wa O2 Arena mjini London katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa juu na kufikisha mapambano 15 bila kupoteza akishinda yote kwa Knockout (KO) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOSHUA AENDELEA 'KUWAFANYA VIBAYA' WENZAKE...AMTWANGA MWINGINE KWA KO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top